MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.
Tatizo la kuajiri wafanyakazi wasio na sifa kwenye biashara yako.
Mapinduzi ya viwanda yaliyotokea takribani karne mbili zilizopita yalileta mabadiliko makubwa sana kwenye ufanyaji wa kazi. Kabla ya hapo hakukuwa na ajira rasmi na hivyo watu wengi walizalisha kwa kiwango kidogo na kubadilishana. Viwanda vilipokuja viliweza kuzalisha kwa kiwango kikubwa sana na hivyo kuhitaji wafanyakazi wengi. Na kwa kuwa wafanyakazi