UKURASA WA 225; Nikipata Muda Nitafanya.

By | August 13, 2015
Mtu akishatoa sababu kama hiyo jua kabisa hayupo tayari kwa ajili ya mafanikio. Kwamba mtu akipata muda atafanya kitu ambacho ni muhimu kwake. Labda pia kitu hiko sio muhimu. Ukweli ni kwamba hakuna mtu ambaye atapata muda zaidi ya alionao sasa. Hakuna mtu anayeweza kutengeneza muda. Tutaendelea kuwa na haya

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In