UKURASA WA 228; Kusamehe Tu Haitoshi, Achilia.

By | August 16, 2015
Katika maisha yetu ya kila siku, kuna watu tunawakosea, kuna watu wanatukosea na pia tunajikosea wenyewe. Kwa vyovyote vile mambo haya matatu yanatuacha sisi na hisia za hasira. Kwa nini huyu mtu anifanyie hivi, kwa nini nimeshindwa kufanya kitu hiki au kwa nini nimemfanyia mtu kitu kama hiki. UNAPOACHILIA, UNAPATA

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In
   
Category: KURASA ZA MAISHA

About Dr. Makirita Amani

Dr. Makirita Amani ni daktari wa binadamu, mwandishi, mhamasishaji na mjasiriamali. Dhumuni lake kubwa kwenye maisha ni KUWASAIDA WATU KUBORESHA MAISHA YAO NA KUFIKIA MAFANIKIO MAKUBWA KUPITIA KAZI ANAZOFANYA. Mawasiliano 0717396253 email makirita@kisimachamaarifa.co.tz