UKURASA WA 227; Njia Mbili Za Kupima Ukuu Wako.

By | August 15, 2015
Tukitaka kupima ukuu wako, hatuna haja ya kutumia nguvu kubwa, hatuna haja ya kujua umri ulionao na wala hatuna haja ya kujua historia yako umetokea wapi mpaka ulipo sasa. Ni rahisi sana kupima ukuu wa mtu kama utapata muda mchache wa kuwa naye. Kwa muda huu utaweza kujua vitu viwili

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In
   
Category: KURASA ZA MAISHA

About Dr. Makirita Amani

Dr. Makirita Amani ni daktari wa binadamu, mwandishi, mhamasishaji na mjasiriamali. Dhumuni lake kubwa kwenye maisha ni KUWASAIDA WATU KUBORESHA MAISHA YAO NA KUFIKIA MAFANIKIO MAKUBWA KUPITIA KAZI ANAZOFANYA. Mawasiliano 0717396253 email makirita@kisimachamaarifa.co.tz