UKURASA WA 241; Ukweli Utabaki Kuwa Ukweli.

By | August 29, 2015
Mara nyingi watu huwa hawapendi kuujua ukweli kwa sababu ukweli unauma. Hasa pale ambapo ukweli huo unakuwa unahusu mapungufu ya mtu moja kwa moja. Haijalishi hutaki kuusikia ukweli kwa kiasi gani, lakini hili halitabadili ukweli. Ni bora ukabadili mtazamo wako kuhusu kupokea ukweli na hili litakusaidia sana. SIKILIZA NA FANYIA

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In