UKURASA WA 249; Fikiria Unachofikiria….

By | September 6, 2015
Kama kuna kazi ngumu duniani basi ni kufikiri, na sio kufikiri tu, bali kufikiri kwa kina. Binadamu yuko radhi afanye jambo lolote ili tu akwepe zoezi hili la kufikiria. Lakini utaniambia, mbona mimi muda wote ninafikiria? Mbona mimi muda wote nina mawazo? Na mimi nitakujibu, ndio unamawazo lakini hufikirii na

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In