UKURASA WA 269; Hapa Ndipo Unapojificha.

By | September 26, 2015
Kuna sehemu ambapo umekuwa unajificha. Unajificha sehemu hii sio kwa ajili ya kujilinda bali kwa ajili ya kutoroka kufanikiwa, kwa ajili ya kutoroka kufanya mambo makubwa. Umetafuta sehemu ambayo ukishajificha pale hakuna mtu anayeweza kukulaumu kwamba kwa nini hujafanya mambo makubwa au kwa nini hujatimiza ulichoahidi. Wewe mwenyewe umeshafurahia hapo

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In