UKURASA WA 274; Sio Tatizo Lako, Ni Tatizo Lao Wenyewe…

By | October 1, 2015
Msingi wa kwanza kabisa wa wewe kufikia mafanikio makubwa kwenye maisha yako ni kuchukua majukumu yote ya maisha yako. Yaani chochote kitakachotokea kwenye maisha yako ni juu yako mwenyewe. Huna wa kumlaumu au kumlalamikia, ni wewe mwenyewe umesababisha na hivyo unahitaji kufanya kazi kurekebisha, kama ni kosa. Lakini msingi huu

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In
   
Category: KURASA ZA MAISHA

About Dr. Makirita Amani

Dr. Makirita Amani ni daktari wa binadamu, mwandishi, mhamasishaji na mjasiriamali. Dhumuni lake kubwa kwenye maisha ni KUWASAIDA WATU KUBORESHA MAISHA YAO NA KUFIKIA MAFANIKIO MAKUBWA KUPITIA KAZI ANAZOFANYA. Mawasiliano 0717396253 email makirita@kisimachamaarifa.co.tz