MABORESHO ZAIDI KWENYE KISIMA CHA MAARIFA KUANZIA NOVEMBER 2015.

By | October 29, 2015
Kuanzia mwezi november mwaka huu 2015 kutafanyika maboresho zaidi kwenye KISIMA CHA MAARIFA. Maboresho haya ni kuhakikisha wewe unapata maarifa bora zaidi yatakayokuwezesha wewe kuchukua hatua ya kuboresha kazi zako, biashara zako na hata maisha yako kwa ujumla. Kumbuka maarifa ni muhimu sana kwako kama unataka kufikia mafanikio makubwa kwenye

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In
   
Category: KUTOKA KWA KOCHA

About Dr. Makirita Amani

Dr. Makirita Amani ni daktari wa binadamu, mwandishi, mhamasishaji na mjasiriamali. Dhumuni lake kubwa kwenye maisha ni KUWASAIDA WATU KUBORESHA MAISHA YAO NA KUFIKIA MAFANIKIO MAKUBWA KUPITIA KAZI ANAZOFANYA. Mawasiliano 0717396253 email makirita@kisimachamaarifa.co.tz