UKURASA WA 302; Kushindwa Kunapatikana Sehemu Moja Tu, Na Kwa Bahati Nzuri Haupo Sehemu Hiyo.

By | October 29, 2015
Kuna sehemu moja tu ambayo kushindwa kunapatikana na sehemu hiyo ni kaburini. Ndiyo ni kaburini pekee ambapo kushindwa ndio kunapatikana. Kwa sababu unasoma hapa, naamini hujafika kaburini na hivyo hii ni habari njema kwamba bado hujashindwa. Mtu pekee ambaye tayari ameshashindwa ni yule ambaye ameshakufa, maana huyu hana njia yoyote

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In