Karibu Kwenye Familia Kubwa Ya Wanamafanikio Tanzania.

By | November 27, 2015
Habari rafiki? Naamini unaendelea vyema na mipango yako ya maisha. Napenda kuchukua nafasi hii kutoa taarifa muhimu kwa wanachama wa KISIMA CHA MAARIFA na wale ambao pia wangependa kuwa wanachama. Kwanza kabisa niwapongeze wale wote ambao tumekuwa pamoja kwenye KISIMA CHA MAARIFA, kuna mengi sana ambayo mmekuwa mnaendelea kujifunza na

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In