UKURASA WA 356; Kujali Kunakoumiza…

By | December 22, 2015
Moja ya vitu vinavyotufanya tunaendelea kuwepo duniani kama binadamu ni kujali. Ndio tunajali sana kuhusu sisi wenyewe na hata wale wanaotuzunguka. Tunapenda kuona tupo kwenye hali salama na hata wale wa karibu yetu pia tunapenda kuona wapo salama. Lakini kujali huku pia kunakuja na hasara zake, kuna kujali ambapo kunakuumiza

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In