UKURASA WA 355; Kazi Iliyo Ngumu Sana, Lakini Muhimu Kufanya.

By | December 21, 2015
Kwa asili yetu binadamu hatupendi kufanya vitu vigumu. Na kama inatubidi kufanya basi huwa tunatafuta njia ya kurahisisha kufanya kitu hiko. Hii ndio imeleta mapinduzi makubwa sana kwenye teknolojia ukianza na zama za mawe, zama za chuma, mapinduzi ya viwanda na mpaka sasa zama za taarifa. Kwa kuwa vitu vingi

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In
   
Category: KURASA ZA MAISHA

About Dr. Makirita Amani

Dr. Makirita Amani ni daktari wa binadamu, mwandishi, mhamasishaji na mjasiriamali. Dhumuni lake kubwa kwenye maisha ni KUWASAIDA WATU KUBORESHA MAISHA YAO NA KUFIKIA MAFANIKIO MAKUBWA KUPITIA KAZI ANAZOFANYA. Mawasiliano 0717396253 email makirita@kisimachamaarifa.co.tz