UKURASA WA 357; Maumivu Na Mateso.

By | December 23, 2015
Maumivu hayakwepeki… Umepata hasara kwenye biashara… Nyumba yako imeungua…. Mtu wako wa karibu amefariki… Ulichotegemea hujakipata… Hii ni kwa sababu kuna mambo mengi ambayo hatuwezi kuyaathiri, na hivyo hatuwezi kukwepa maumivu. Yaani maumivu yapo na yanatujia mara kwa mara. Mateso ni kuchagua, tofauti na maamuzi, wewe ndio unaamua uteseke au

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In
   
Category: KURASA ZA MAISHA

About Dr. Makirita Amani

Dr. Makirita Amani ni daktari wa binadamu, mwandishi, mhamasishaji na mjasiriamali. Dhumuni lake kubwa kwenye maisha ni KUWASAIDA WATU KUBORESHA MAISHA YAO NA KUFIKIA MAFANIKIO MAKUBWA KUPITIA KAZI ANAZOFANYA. Mawasiliano 0717396253 email makirita@kisimachamaarifa.co.tz