FALSAFA MPYA YA MAISHA; Tatizo La Mpende Jirani Yako Kama Unavyojipenda Mwenyewe, Na Njia Mpya Ya Upendo.

By | February 7, 2016
Moja ya falsafa nzuri na iliyodumu kwa miaka mingi kuhusu upendo ni mpende jirani yako kama unavyojipenda wewe mwenyewe. Hii ni falsafa nzuri sana kwa sababu wote tunajua dunia bila ya upendo haiwezi kwenda. Upendo ndio umeifikisha dunia hapa, na upendo ndio utaendelea kuifanya dunia iendelee kuwepo. Japokuwa kuna matukio

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In