UKURASA WA 409; Ukishaingia Kwenye Matatizo, Tulia.

By | February 13, 2016
Changamoto, vikwazo na matatizo ni sehemu ya maisha yetu ya kila siku. Hakuna maisha yaliyonyooka tu, ambayo hayakutani na vitu hivyo. Kuna kitu kimoja ambacho kimekuwa kinawapata watu wanaoingia kwenye matatizo. Tatizo moja ni kama linazaa matatizo mengi zaidi. Yaani mtu anaanza na tatizo moja na hatimaye anajikuta kwenye matatizo

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In