BIASHARA LEO; Viashiria Kwamba Umeshaingia Kwenye Ushindani Utakaokupoteza Kibiashara.

By | March 25, 2016
Kama ambavyo nimekuwa nasisitiza mara nyingi, ushindani wa moja kwa moja kwenye biashara, ndiyo mchezo mbaya kuliko yote unaoweza kufanya kwenye biashara yako, kwa sababu utakupoteza haraka sana. Mfanyabiashara mwenzetu aliandika maoni kutaka kujua ni viashiria gani mfanyabiashara anaweza kuwa navyo pale anapokuwa ameingia kwenye mashindano ya kibiashara.Aliandika maoni yake

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In