Karibu Kwenye Kundi Jipya La AMKA MTANZANIA, Hakuna Gharama Na Nafasi Ni Chache.

By | March 25, 2016
Habari za wakati huu rafiki yangu? Nina imani kubwa kwamba wewe rafiki yangu unaendelea kuweka juhudi ili kufanya maisha yako kuwa bora zaidi. Maana hiyo ndiyo njia pekee ya kuwa na maisha bora, siyo kusubiri, siyo kulalamika, siyo kulaumu, bali ni kufanya, kuweka juhudi, na matokeo utayaona. Leo napenda kuchukua

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In
   
Category: KUTOKA KWA KOCHA

About Dr. Makirita Amani

Dr. Makirita Amani ni daktari wa binadamu, mwandishi, mhamasishaji na mjasiriamali. Dhumuni lake kubwa kwenye maisha ni KUWASAIDA WATU KUBORESHA MAISHA YAO NA KUFIKIA MAFANIKIO MAKUBWA KUPITIA KAZI ANAZOFANYA. Mawasiliano 0717396253 email makirita@kisimachamaarifa.co.tz