UKURASA WA 451; Kuibukia Kileleni…

By | March 26, 2016
Mtu yeyote ambaye amewahi kupanda mlima mrefu, Kilimanjaro au mwingine wowote, atakuambia kitu kimoja muhimu, hakujikuta kileleni. Badala yake alianza kupiga hatua moja baada ya nyingine, na kidogo kidogo akapanda mpaka kufikia kileleni. Huu ndio ukweli wa maisha, huwezi kuibukia kileleni, yaani ukajikuta tayari upo kileleni, hakujawahi kutokea muujiza wa

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In