UKURASA WA 461; Mara Zote…

By | April 5, 2016
Katika majumuiko yetu na watu wengine, tumekuwa tukiwahukumu kwa hali ambazo siyo kweli. Hata sisi wenyewe pia, tumekuwa tunajihukumu kwa hali ambazo siyo kweli. Moja ya njia tunazowahukumu nazo wengine na hata sisi wenyewe pia ni kutumia kauli kama MARA ZOTE, KILA MARA au DAIMA… Mara zote wewe umekuwa unachelewa…

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In