UKURASA WA 487; Unarekodiwa…

By | May 2, 2016
Kwenye dunia tunayoishi sasa, kila unachofanya, kusema au kuandika, kuna watu wanakurekodi. Unahitaji kulijua hili na kuwa makini sana kwa sababu ulichosema au kuandika kinaweza kutumika kama ushahidi dhidi yako. Hakuna wakati ambao inalipa kuwa mwadilifu kama zama hizi, maana kila kitu kipo wazi kabisa. Unaweza kufanya kitu ukijua ni

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In