UKURASA WA 490; Upo Huru Kiasi Gani?

By | May 5, 2016
Uhuru ni moja ya mahitaji muhimu sana kwenye maisha yetu. Ili maisha yawe bora, na uweze kuyafurahia, ni lazima uwe na uhuru. Na uhuru siyo tu kutokuendeshwa na wengine, bali unahitaji kuwa huru hata kwako wewe mwenyewe pia. Unaweza kupata uhuru kutoka kwa wengine lakini ukajinyima uhuru wewe mwenyewe. Ndiyo

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In
   
Category: KURASA ZA MAISHA

About Dr. Makirita Amani

Dr. Makirita Amani ni daktari wa binadamu, mwandishi, mhamasishaji na mjasiriamali. Dhumuni lake kubwa kwenye maisha ni KUWASAIDA WATU KUBORESHA MAISHA YAO NA KUFIKIA MAFANIKIO MAKUBWA KUPITIA KAZI ANAZOFANYA. Mawasiliano 0717396253 email makirita@kisimachamaarifa.co.tz