BIASHARA LEO; Fursa Ipo Ndani Yako, Na Jinsi Ya Kuitumia.

By | May 4, 2016
Dunia imekuwa inatudanganya kitu kimoja, ya kwamba fursa zipo nje yetu na hivyo ni sisi kuhakikisha tunazitafuta na kuzitumia. Ukweli ni kwamba fursa hazipo nje yetu bali zipo ndani yetu. Tunapozijua fursa zilizopo ndani yetu,mkitu chochote kinachotuzunguka kinakuwa fursa kubwa kwetu. Tutaweza kukitumia na kuweza kufanya mambo makubwa. Lakini kama

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In
   
Category: BIASHARA LEO

About Dr. Makirita Amani

Dr. Makirita Amani ni daktari wa binadamu, mwandishi, mhamasishaji na mjasiriamali. Dhumuni lake kubwa kwenye maisha ni KUWASAIDA WATU KUBORESHA MAISHA YAO NA KUFIKIA MAFANIKIO MAKUBWA KUPITIA KAZI ANAZOFANYA. Mawasiliano 0717396253 email makirita@kisimachamaarifa.co.tz