UKURASA WA 504; Kile Unachokitaka Hasa….

By | May 20, 2016
Kile unachokitaka hasa, ndiyo unachokwenda kukipata, ndivyo maisha yalivyo. Hupati tofauti na unachotaka. Na hivyo kile unachotaka ndicho kinastahili muda wako na mawazo yako. yafanye mawazo yako kutawaliwa na kile ambacho unakitaka, na tumia muda wako kufanya kitu hiko. Tunaishi kwenye dunia yenye kelele na mengi yanayotaka akili zetu na

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In