UKURASA WA 503; Msingi Wa Hasira…

By | May 19, 2016
Siyo vibaya kukasirika, kama unaweza kuzidhibiti hasira zako. Kama utaweza kujizuia usichukue hatua kutokana na hasira ulizonazo, kwa sababu hatua unazochukua wakati ukiwa na hasira, huwa siyo hatua nzuri. Hili ni jambo muhimu sana la kuzingatia pale unapokuwa umekasirika. Leo tunakwenda kuchimba ndani na kuangalia ni upi hasa msingi wa

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In