UKURASA WA 543; Sifa Zinakwenda Kwa Nani?

By | June 28, 2016
Mambo makubwa sana yangefanyika kwenye jamii zetu na dunia kwa ujumla kama tusingejali sifa zinakwenda kwa nani. Kama tungekuwa tayari kujitoa kufanya ile sehemu yetu, bila ya kujali nani anapewa sifa, tungefanya makubwa sana. Lakini hali haipo hivyo, wengi wetu tunaangalia kama kuna sifa ambazo tutapata kwa kufanya kitu fulani.

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In