UKURASA WA 544; Unavyochagua Kuharibu Maisha Yako Mwenyewe…

By | June 29, 2016
Unachagua kuharibu maisha yako mwenyewe pale unapokubali kuwa mwathirika. Pale unapoona ya kwamba mambo yanatokea kwako kwa sababu huna jinsi ya kupambana nayo, unapoteza nguvu zako zote na kushindwa kuchukua hatua. Pale unaporuhusu utu wako wa ndani kushindwa na mambo yanayotokea nje yako, kila siku unaona maisha ni mabaya kuliko

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In