UKURASA WA 547; Tatizo La Kusubiri…

By | July 1, 2016
Tatizo la kusubiri ni kwamba ndiyo njia rahisi sana ya kutokuchukua hatua. Huwa inakuwa hivi, unapata wazo zuri sana ambalo unaona kama utalitekeleza, basi maisha yako yatakuwa bora sana. Au unaiona fursa nzuri sana, ambayo kama utachukua hatua utanufaika sana. Lakini kama ilivyo kwa wengi, unasema nitaifanya, subiri kwanza hili

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In