UKURASA WA 64; Nusa Mabadiliko.

By | March 5, 2015
Kitu kimoja ambacho naweza kukuhakikishia ni kwamba mabadiliko yanatokea kila siku. Sina haja ya kukushawishi sana hili maana wewe mwenyewe unaona, labda iwe umeamua kutokuona kwa makusudi. Kama unahitaji nikukumbushe kidogo, fikiria makampuni kama ya posta, simu za mkononi, maktaba na mwengine mengi yanaelekea wapi kibiashara. Yanakufa kwa sababu kuna

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In