UKURASA WA 553; Ni Lazima Ukubali Kwanza…

By | July 6, 2016
Mtu ambaye hajui kama anakosea, huwezi kumrekebisha, kwa sababu anahisi yupo sahihi kwa kile anachofanya. Hivyo hata kama utamrekebisha namna gani, ataendelea kufanya kile anachofanya, kwa sababu anajua yupo sahihi. Hapa ndipo changamoto nyingi hasa za mahusiano na mafanikio zinapoanzia. Kama wewe mwenyewe hukubali kwamba unakosea, huwezi kubadili kile unachofanya,

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In