UKURASA WA 552; Mchango Wako Ni Jinsi Ulivyo…

By | July 5, 2016
Kama kuna mchango wowote unaoweza kutoa kwenye dunia hii, basi unautoa kwa jinsi ulivyo wewe. Na siyo kwa jinsi unavyofikiri au kusema utatoa mchango gani kwenye dunia hii. Jinsi ulivyo, haiba yako na matendo yako ndiyo vinavyotoa mchango kwenye dunia hii kwa kuanzia na wale wanaokuzunguka. Mchango wako unatokana na

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In