UKURASA WA 555; Hofu Inavyotumika Kukunyanyasa…

By | July 8, 2016
Moja ya hisia kali sana kwetu binadamu ni hofu. Hofu inaweza kutuzuia kuchukua hatua kubwa kwenye maisha yetu na pia hofu inaweza kutufanya tuchukue hatua ambazo siyo bora kwetu. Kwa watu kujua hili, wamekuwa wakitumia hofu kunyanyasana wao kwa wao. Pale ambapo mtu anataka ufanye kitu na hana njia ya

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In