UKURASA WA 554; Kabla Hujasema Haiwezekani Angalia Hiki…

By | July 7, 2016
Kufikia mafanikio makubwa, kupata kile ambacho hujawahi kupata, ni njia ngumu sana ambayo hujawahi kupita. Katika ugumu huu kuna wakati unaweza kushawishika siyo tu kwamba njia unayopita ni ngumu, bali kile unachofanya hakiwezekani. Na ukishajishawishi kwamba haiwezekani unajua ni nini kinafuata, unaacha kufanya na malengo yako yote yanakuwa yameishia hapo.

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In