UKURASA WA 597; Kufanya Makosa…

By | August 19, 2016
Kufanya makosa ni kitu ambacho kimekuwa kinapewa taswira hasi kwenye ulimwengu tunaoishi sasa. Kufanya makosa kunaonekana kama ni kitu kibaya na anayefanya makosa hayo ni mtu mwenye uwezo mdogo. Mtazamo huu juu ya makosa umewafanya wengi kuogopa kuchukua hatua. Wengi wameshindwa kuchukua hatua kwa kuhofia kufanya makosa na kuonekana kama

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In