UKURASA WA 609; Kitu Kimoja Walichonacho Mashujaa Na Waoga…

By | August 31, 2016
Kuna watu ambao ni mashujaa, watu ambao tunawaona wana uthubutu mkubwa na kuweza kufanya yale yaliyowashinda wengine. Kila mmoja anapenda kuwa shujaa, japo ni wachache wanaofikia kiwango hiko. Kuna watu ambao ni waoga, watu ambao hawathubutu kufanya mambo makubwa. Watu ambao wapo tayari kufanya kwa ukawaida ili tu wasijiingize kwenye

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In

Prove your humanity


   
Category: KURASA ZA MAISHA

About Dr. Makirita Amani

Dr. Makirita Amani ni daktari wa binadamu, mwandishi, mhamasishaji na mjasiriamali. Dhumuni lake kubwa kwenye maisha ni KUWASAIDA WATU KUBORESHA MAISHA YAO NA KUFIKIA MAFANIKIO MAKUBWA KUPITIA KAZI ANAZOFANYA. Mawasiliano 0717396253 email makirita@kisimachamaarifa.co.tz