UKURASA WA 623; Tofauti Ya Darasani Na Duniani.

By | September 14, 2016
Kama duniani kungekuwa kama darasani, basi kila mtu angekuwa na yale maisha anayotaka kuwa nayo. Ila kuna tofauti kubwa sana kati ya darasani na duniani, wengi hawaelewi tofauti hii na ndiyo maana wamekuwa wanafanya mambo ya ajabu. Kama hujaelewa, darasani namaanisha mfumo wote wa elimu, kuanzia chekecheka mpaka chuo kikuu,

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In