UKURASA WA 624; Hatua Iliyo Ngumu Zaidi Kwenye Safari Ya Mafanikio…

By | September 15, 2016
Kila hatua kwenye safari ya mafanikio ni ngumu, na ndiyo maana wengi safari hii inawashinda, hata kuanza tu ni changamoto kwa wengi. Lakini kuna hatua ambayo ni ngumu zaidi ukilinganisha na hatua nyingine. Leo tunakwenda kuangalia hatua hii iliyo ngumu, na jinsi tunavyoweza kufanya kuwa rahisi kwetu. Kabla hatujaiangalia hatua

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In