UKURASA WA 625; Jinsi Ya Kujijengea Na Kuilinda Sifa Yako.

By | September 16, 2016
Sifa yako ni vile ambavyo watu wengine wanakuchukulia wewe. Hii inatokana na vile unavyofanya mambo yako na unavyowafanyia wengine. Maneno pekee hayakujengei sifa, bali matendo yako. Watu wanaamua wakuchukulieje kulingana na unavyoathiri na kugusa maisha yao. Siyo wewe unayeamua watu wakuchukulieje, bali ni wao wenyewe. Japo huna nguvu ya kuwaambia

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In