UKURASA WA 628; Jinsi Ya Kuwafundisha Watoto Wako Thamani Ya Fedha….

By | September 19, 2016
Huwezi kuijua thamani ya fedha mpaka pale umeifanyia fedha hiyo kazi, umeumia na kusumbuka kisha ukaipata fedha. Hapo ndipo utaona thamani yake na kuiheshimu fedha hiyo. Hivi ndivyo hali ilivyo kwetu wanadamu, tunathamini kile ambacho tunajua hatukipati kwa urahisi. Na ndiyo maana wale wanaopata fedha kwa urahisi huwa wanazitumia hovyo

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In