UKURASA WA 629; Muda Unaosubiri Ni Muda Unaopoteza…

By | September 20, 2016
Kila mtu kuna kitu ambacho anataka au kupenda sana kufanya, lakini hajaanza kufanya mpaka sasa. Kikubwa ambacho kinawazuia watu kuchukua hatua ni kusubiri kwa kufikiri kwamba wakati wa kufanya bado. Wengi wamekuwa wakifikiri kwamba bado hawajawa tayari, au bado mazingira hayajawa mazuri kwa wao kuanza. Lakini rafiki yangu, mwana mafanikio

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In