UKURASA WA 650; Ndiyo, Unahitaji Kujitesa.

By | October 11, 2016
Kuna falsafa muhimu sana ya maisha ambayo ipo nyuma ya kujitesa. Ni falsafa ambayo inatujengea ukakamavu wa kuweza kuendana na hali yoyote tunayokutana nayo kwenye maisha. Pia inatufanya tuweze kushukuru kwa kila tunachopata kwenye maisha yetu. Kujitesa ni nini? Kujitesa, japo siyo neno sahihi, ni pale ambapo unachagua kukosa kitu

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In