UKURASA WA 672; Zoezi La Kuitawala Fedha.

By | November 2, 2016
Watu wengi wamekuwa wakilalamika kwamba fedha inabadili watu, kwamba baadhi ya watu wamebadilika baada ya kupata fedha. Lakini ukweli ni kwamba, fedha haiwezi kumbadili mtu. Fedha inamboresha mtu kwenye kile ambacho tayari anacho. Kama mtu ana roho nzuri basi akiwa na fedha anakuwa na roho nzuri zaidi. Na kama mtu

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In