UKURASA WA 671; Asilimia 1 Na Asilimia 99.

By | November 1, 2016
Kila tunachofanya kwenye maisha yetu, kina mchango kwenye mafanikio yetu. Inawezekana kuwa mchango chanya au mchango hasi. Inategemea ni nini umefanya na umefanya kwa kusudi gani. Pamoja na kila kitu kuwa na mchango wake, bado michango ya vitu unavyofanya haifanani. Kuna vitu ukifanya vina mchango mkubwa wakati vingine vina mchango

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In