UKURASA WA 682; Huhitaji Kila Mtu, Unahitaji Watu Sahihi…

By | November 12, 2016
Kitu kimoja muhimu unachopaswa kujua kwenye maisha yako ni kwamba hata kama ungekuwa mtu wa aina gani, hata kama ungefanya jambo kubwa na zuri kiasi gani, siyo kila mtu atakubaliana na wewe. Kama Waswahili wanavyosema, hata ukicheza kwenye maji, wenye husuda watasema unawatimulia vumbi, ndiyo uhalisia wa maisha. Hata kama

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In