UKURASA WA 707; Mteja Mgumu Kumpata Kwenye Biashara Yako Ni Huyu…

By | December 7, 2016
Watu wengi wamekuwa wakianzisha biashara, ila pale mapema kabisa wanagundua jambo moja muhimu, hawana wateja wa biashara zao. Wakati wanajipanga kuanza biashara wanaona mafanikio yapo nje nje, wanajua kabisa wakishaanza biashara watapata wateja wengi. Ila wanapoanza biashara, ndipo wanapokutana na ukweli, kwamba biashara zao hazina wateja. Tatizo la biashara kukosa

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In