BIASHARA LEO; Miaka 20 Ijayo Mteja Atakutafuta?

By | July 29, 2017
Watu wote ambao wanaingia kwenye biashara kwa msukumo wa kupata faida pekee, huwa hawadumu muda mrefu. Ni sheria ya dunia kwamba chochote ambacho hakipo kwenye misingi sahihi, kinaanguka. Wale wanaofikiria faida pekee, wanafanya kila wawezalo kupata faida, hata kama linaharibu mahusiano na wateja. Kipimo kizuri sana kwako kuepuka hilo ni

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In