BIASHARA LEO; Mteja Mmoja Asikufanye Ubadili Biashara Yako Yote…

By | September 19, 2017
Wakati unapoanza biashara yoyote, huwa unakuwa na mawazo yako juu ya biashara hiyo. Huwa unakuwa na mipango mikubwa juu ya biashara yako na wateja unaowalenga pia. Lakini unapoingia kwenye biashara hasa, mambo huwa tofauti na ulivyotegemea. Wakati mwingine kitu ulichofikiri wateja wanakitaka kweli kinakuwa siyo kitu chenyewe. Hili linakufanya ubadili

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In