UKURASA WA 1079; Huwezi Kumfundisha Yeyote Somo, Siyo Kwa Namna Unayofikiri Wewe…

By | December 14, 2017
Wanasema kwamba njia bora ya kulipa kisasi kwa watu waliokusumbua au kukukwamisha kwa namna yoyote ile, ni kuwa na mafanikio makubwa sana. Tumekuwa tunafikiri hivi kwamba kama kuna mtu anatusumbua, amewahi kutunyanyasa kwa namna yoyote ile, basi tukikazana na kufanikiwa tutamfundisha somo. Tutamwonesha kwamba alikosea sana kutufanyia kile alichofanya. Lakini

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In
   
Category: KURASA ZA MAISHA

About Dr. Makirita Amani

Dr. Makirita Amani ni daktari wa binadamu, mwandishi, mhamasishaji na mjasiriamali. Dhumuni lake kubwa kwenye maisha ni KUWASAIDA WATU KUBORESHA MAISHA YAO NA KUFIKIA MAFANIKIO MAKUBWA KUPITIA KAZI ANAZOFANYA. Mawasiliano 0717396253 email makirita@kisimachamaarifa.co.tz