UKURASA WA 1151; Wazo Lisilofanyiwa Kazi Ni Maumivu…

By | February 24, 2018
Hivi umewahi kuwa na wazo zuri la kufanyia kazi, ambalo unajua linaweza kukuwezesha kupiga hatua kubwa kwenye maisha yako. Lakini ukawa hulifanyii kazi, kwa sababu mbalimbali ambazo umekuwa unajipa. Halafu siku moja ukaja kukutana na mtu mwingine tayari anafanyia kazi wazo lile na anapata matokeo mazuri. Unajisikiaje katika hali hiyo?

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In