BIASHARA LEO; Fasheni Zinapita, Biashara Yako Ni Ya Kudumu…

By | September 22, 2018
Kama umechagua kuingia kwenye biashara, basi biashara yoyote unayochagua kufanya, angalia miaka mingi ijayo. Angalia miaka mitano ijayo, miaka kumi ijayo na hata miaka 50 ijayo. Je biashara hiyo itakuwepo na je itakuwa imekua zaidi kuliko sasa? Nakuambia hivi kwa sababu kuna uwekezaji mkubwa utakaouweka mwanzo wa biashara yako, uwekezaji

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In
   
Category: BIASHARA LEO

About Dr. Makirita Amani

Dr. Makirita Amani ni daktari wa binadamu, mwandishi, mhamasishaji na mjasiriamali. Dhumuni lake kubwa kwenye maisha ni KUWASAIDA WATU KUBORESHA MAISHA YAO NA KUFIKIA MAFANIKIO MAKUBWA KUPITIA KAZI ANAZOFANYA. Mawasiliano 0717396253 email makirita@kisimachamaarifa.co.tz